17 Sep 2025 8:17 pm | Citizen TV 105 views Duration: 1:27 Shabiki.com imezindua mchezo mpya, Shabiki Supa Jackpot wa kitita cha shilingi milioni mia moja. Mshindi mkuu atakuwa mwenye kubashiri mechi 17 kati ya 17 kwa usahihi.