Shabiki.com imejiandaa vilivyo kuhakikisha mashabiki wanafurahia kila mechi kwenye mtandao

  • | Citizen TV
    144 views

    Sportbook ya shabiki.com inakupa nafasi ya kutoa utabiri wa soka kutoka Ligi mbalimbali duniani zikiwemo za bara uropa kama vile EPL na LA LIGA ili kuweza kushinda pesa taslimu. Aidha, katika msimu huu mpya wa soka kuna zawadi nzuri zikiwemo bonasi ya asilimia 100% ya makaribisho, 1000% multibet boost na michezo tofauti kwenye mtandao wa shabiki.com.