- 1,280 viewsDuration: 3:11Hofu imetanda katika kijiji cha Chebunaywa, kata ndogo ya Senende, Shamakhoho, baada ya mwili wa mwanaume mwenye umri wa miaka 53, Nelson, kupatikana kando ya barabara katika mazingira yanayozua hofu kuwa huenda aliuawa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya