- 132 viewsWapalestina wasiopungua saba wameuwawa na wengine kadhaa kujeruhiwa Jumatano (Desemba 11) kufuatia shambulizi la anga lililofanywa na Israel kwenye nyumba iliyoko katika kambi ya Nuseirat katikati ya Gaza, wafanyakazi wa afya wameiambia Reuters. Watu walionekana wamekaa chini, wakilia na kuomboleza vifo vya wapendwa wao huku miili ikiwa sakafuni imefunikwa na mablanketi na mifuko ya kuhifadhi miili. Wanaume na wanawake walikuwa wakifanya sala ya mazishi kwenye miili hiyo kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa. Israel na Hamas wamekuwa katika vita tangu wapiganaji wanaongozwa na Hamas walipoishambulia Israel Oktoba 7, 2023, na kuua watu 1,200 na kuwateka zaidi ya watu 250, kulingana na hesabu ya Israel. Shambulizi hilo lilichochea kampeni ya jeshi la Israeli dhidi ya Hamas huko Gaza, ambayo imeuwa zaidi ya Wapalestina 44,800, mamlaka za afya Gaza zimesema. - Reuters #israel #wapalestina #shambulizi #vifo #Nuseirat #gaza #hamas #mateka #voa #voaswahili
Shambulizi la anga lililofanywa na Israel lauwa Wapalestina 7, na wengine kujeruhiwa
- - KTN PRIME Highlights ››
- 6 Aug 2025 - Two civil society organisations have moved to court to challenge the nomination of Dr. Duncan Oburu Ojwang as Chairperson of the KNCHR, citing a violation of constitutional gender provisions.
- 6 Aug 2025 - So, what really triggered the call to reassess Kenya’s US non-NATO major ally status?
- 6 Aug 2025 - President William Ruto and ODM party leader Raila Odinga have formed a five-member committee tasked with implementing the agenda of the broad-based government and the National Dialogue Committee (NADCO) report.
- 6 Aug 2025 - Captain Ibrahim Traore has made shockwaves across Africa and the wider world. Burkina Faso’s interim President is hailed as a revolutionary leader, extricating his country from the clutches of French colonial rule.
- 6 Aug 2025 - A Kenyan-born pastor and her family are facing deportation to their homeland after their application for permanent residency on humanitarian and compassionate grounds was denied.
- 6 Aug 2025 - A woman has been found guilty of killing her lover back in 2020 in Nanyuki County.
- 6 Aug 2025 - As captured during EACC survey
- 6 Aug 2025 - National Police Service says it's treating the matter with “the urgency and gravity” it deserves
- 6 Aug 2025 - Human rights activists are calling for the disbandment of the National Police Service (NPS) following damning revelations in the latest EACC corruption index, which ranks the security organ among the most corrupt institutions in the country.
- 6 Aug 2025 - Cabinet Secretary for Public Service Geoffrey Ruku has issued a stern warning to corrupt public officers, calling on the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) to swiftly arrest all individuals implicated in recent graft reports.