Vyombo vya habari vimehimizwa kukumbatia mabadiliko ibuka katika sekta ya uanahabari, ili kuendelea kuwa na ushawishi. Watu mashuhuri waliozuru shirika la utangazaji humu nchini, KBC kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Redio, walikariri umuhimu wa matumizi ya akili unde almaarufu 'AI' kupiga jeki juhudi za binadamu katika utangazaji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive