- 12,763 viewsDuration: 4:31Kenya imepokea dozi elfu 21 za dawa ya kuzuia usambazaji wa virusi vya HIV. Dawa hiyo hutumika kwa kudungwa sindano mara mbili kwa mwaka, serikali ikigharamia shillingi elfu 7,800 kwa kila mtu mmoja kwa mwaka. Kaunti 15 zitakuwa za kwanza kupokea dawa hizo, wizara ya afya ikisisistiza kuwa yule ambaye hana virusi vya hiv japo yuko katika hatari ya kupata virusi hivyo anaweza kudungwa dawa hiyo.