20 Sep 2025 7:42 pm | Citizen TV 1,114 views Duration: 3:08 Sherehe za 136 za Maulid zimekamilika kisiwani Amu, huku zaidi ya wageni 30,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia wakiungana na wenyeji wa Lamu kusherekea mazazi ya Mtume Muhammad. Abdulrahman Hassan ana maelezo Zaidi.