Sherehe za kuadhimisha siku ya mazingira yafanyika eneo la Shela, Kisiwa cha Amu

  • | Citizen TV
    778 views

    Sherehe za kuadhimisha siku ya mazingira inafanyika eneo la Shela Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu huku wanafunzi zaidi ya 400 kutoka shule mbalimbali wakihusishwa ili kujifunza njia za kuboresha mazingira ya baharini. Asilimia zaidi ya 70 uchumi wa kaunti ya lamu unategea utalii unaopatikana eneo la shela hali iliyopelekea wadau wa utalii kuandaa sherehe hizi ili kuvutia watalii zaidi.