- 240 viewsDuration: 3:28Watu Zaidi ya elfu 10 kutoka mataifa ya Tanzania,Yemen,Uganda,Comoro wamewasili katika Kisiwa cha Amu ili kuhudhuria sherehe za Maulidi. sherehe hizi hufanyika Kila mwaka katika Kisiwa cha Amu kukumbuka tarehe ya kuzaliwa kwa mtume Mohammed PBUH.