- 778 viewsDuration: 3:45Katika eneo la Eselenkei, kajiado kusini, uhalifu wa mazingira unaendelea kukithiri licha ya sheria ya mipangilio ya ardhi kupitishwa na kaunti ya Kajiado. Wanyama pori kama twiga na mbuni wamekuwa wakifa kutokana na uzio na ujenzi unaoendelea kufunga njia zao.