Sheta: Kwanini wasanii wanakimbilia siasa Tanzania

  • | BBC Swahili
    756 views
    Nurdin Bilal @officialshetta anajulikana kwa nyimbo mbalimbali kama vile Nidanganye, Mama Qayla Kerewa na nyingine nyingi. Siku za hivi karibuni amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa zaidi. Je vipi kuhusu mustakabali wake katika muziki? Fuatilia matangazo haya mubashara kufahamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw