Shida ya korodani Kaunti ya Nyahururu

  • | Citizen TV
    58 views

    Madaktari mjini Nyahururu wameelezea wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa visa vya korodani moja kushuka chini au kupotea miongoni mwa watoto wakisema kila wiki kuna kisa kinachoripotiwa