Skip to main content
Skip to main content

Shilingi 12.5 bilioni za 'hasla' hazijalipwa na baadhi ya wakopaji

  • | Citizen TV
    514 views
    Duration: 2:49
    Wakenya waliokopa hazina ya hasla hawajalipa zaidi ya shilingi bilioni 12.5 walizokopa. Hata hivyo, afisa mkuu wa hazina ya hasla henry tanui sasa anasema kuwa pesa hizo ni lazima zirudishwe na waliokopa. Tanui, akiifahamisha kamati ya bunge kuhusu fedha kuwa asilimia 15 ya waliochukua mikopo hiyo wamekataa kulipa.