Shirika la Compassion International lajenga shule ya msingi ili kusaidia wanafunzi eneo la Turkana

  • | Citizen TV
    167 views

    Kama mbinu moja ya kupiga jeki swala la elimu katika jamii ya wafugaji, wakazi wa Nang'echel huko Kapua Turkana ya kati,kwa ushirikiano na shirika la Compassion international na kanisa la kianglikana wameanzisha shule ya msingi kwa kujenga madarasa mawili ili kusaidia wanafunzi wa eneo hilo.