25 Nov 2025 11:02 am | Citizen TV 326 views Duration: 1:44 Mashirika ya kijamii na wanaharakati wa haki za binadamu katika wadi ya Garbatula, Kaunti ya Isiolo, wameongeza hafla za kampeni za kuzuia ongezeko la visa vya ukeketaji wakati huu wa likizo ndefu.