shirika la Kenya Uducation Fund lafanya mabadiliko katika mpango wake wa ufadhili wa masomo

  • | NTV Video
    24 views

    Mabadiliko yanayoshudiwa katika sekta ya elimu yamelazimu shirika la kenya education fund, KEF, kufanya mabadiliko katika mpango wake wa ufadhili wa masomo, ambao sasa utagharamia miaka mitatu ya shule ya upili na mwaka mmoja wa chuo kikuu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya