Shirika la kijamii lajenga madarasa mawili ya CBC Turkana

  • | Citizen TV
    264 views

    Kama njia ya kupiga jeki mtaala wa Elimu wa CBC mashinani, shirika la kijamii la Kapese limefadhili ujenzi wa madarasa mawili na madawati 80 katika shule ya msingi ya Nakukulas kaunti ya Turkana . na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, mkuu wa Elimu wa Turkana amewataka machifu wahakikishe watoto wote ambao hawajajiunga na shule na wamefikisha umri wa kwenda shuleni wamesajiliwa na kupelekwa shuleni.