Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS lanasa vipodozi ghushi jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    261 views

    Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini -KEBS- limenasa bidhaa za vipodozi ambazo hazijaafikia viwango vinavyostahili. Katika operesheni ya pamoja iliyohusisha maafisa wa KRA na maafisa wa polisi, maduka kadhaa yalifungwa.