Shirika la ustawishaji kilimo lakumbatia Teknolojia

  • | Citizen TV
    44 views

    Serikali kupitia Shirika la Ustawishaji Kilimo (ADC) imeanzisha mpango kabambe wa kuwaelimisha wakulima kuhusu umuhimu wa kukumbatia teknolojia ya kisasa katika uzalishaji wa mazao ili kuimarisha usalama wa chakula nchini