Shirika la 'wildlife works' latumia teknolojia katika uhifadhi wa mazingira na ulinzi wa wanyamapori

  • | Citizen TV
    1,302 views

    Shirika lisilo la kiserikali la wildlife works lenye makao yake makuu mji wa maungu, voi , kaunti ya taita taveta, linatumia teknolojia ya kisasa katika uhifadhi wa mazingira na ulinzi wa wanyamapori ili kuzuia migogoro ya mara kwa mara kati ya wanyamapori na binadamu. shirika hilo linatumia ndege ndogo kuweka doria hatika hifadhi ya wanyamapori tsavo na kuwatahadharisha wakazi kuhusu uwepo wa wanyama hao karibu nao.