29 Oct 2025 11:22 am | Citizen TV 185 views Duration: 1:38 Kama njia moja ya kupiga jeki elimu ya watoto wenye ulemavu katika Kaunti ya Turkana, wakfu wa ACTS umeanzisha mbio za baiskeli za kilomita elfu moja na mia nne kutoka Lodwar Turkana Hadi mombasa ili kuchangisha pesa.