- 472 viewsDuration: 2:51Huku mabadiliko ya tabianchi yakizidi kupiga chenga shuguli za ufugaji katika kaunti ya Kajiado, makundi ya kina mama kutoka Loitokitok huko Kajiado kusini sasa yameanza kukumbatia ufugaji wa mbuzi aina ya Germany Alpine ambao wanaweza kustahimili makali ya ukame. Makundi 40 yamepewa mbuzi 120 kwenye mradi ulioanzisha na shirika moja lisilo la serikali ili kuwawezesha kiuchumi.