SHUBIRI YA CHAI | Jinsi utumizi wa mashine za kuchuma chai zimewaacha wengi bila kazi

  • | Citizen TV
    2,432 views

    Mgogoro wa majani chai umekuwa ukishuhudiwa Wakaazi wamekuwa wakizozana na kampuni Wanalalamikia utumizi wa mashine kuchuma chai Wanasema mashine zimewaacha wengi bila ya ajira Mandhari kericho yabadiliko kwa mzozo huu Siasa pia zimelaumiwa kuhusiana na mzozo huu