Shughuli ya kumchagua Papa imeanza Vatican

  • | Citizen TV
    506 views

    Shughuli ya kumchagua mrithi wa marehemu Papa Francis imeanza rasmi jijini Vatican, Italia. Makadinali 133 wanashiriki kura ya kumchagua atakayekuwa papa wa 267 wa kanisa la katoliki duniani