Wakaazi wa Kisii wahamasishwa kuhusu mswada wa fedha

  • | Citizen TV
    404 views

    Stesheni ya redio ya Egesa FM kwa ushirikiano na wizara ya Fedha iliandaa kikao maalum jumatano usiku ili kuhamasisha umma kuhusiana na mswada wa Fedha mwaka 2025.