Shughuli ya kuopoa miili Kware

  • | K24 Video
    35 views

    Serikali imeshutumiwa kwa kutojihusisha kikamilifu na shughuli inayoendelea ya kuopoa miili huko Kware.Wakazi wa kujitolea ambao wanaendesha shughuli hiyo sasa wameomba mitambo ipelekwe ili kuweza kufikia maeneo ambayo ni vigumu kuyafikia kwani wanaamini kuwa kuna miili zaidi eneo hilo