Shughuli ya usajili wa kidato cha kwanza yaendelea kwa siku ya pili kote nchini

  • | KBC Video
    179 views

    Shughuli ya kuwasajili wanafunzi wanaojiunga rasmi na shule za sekondari iliendelea kwa siku ya pili huku shule nyingi zikishuhudia shughuli nyingi. Hata hivyo, wasichana kadhaa katika kaunti ya Narok wangali hawajajiunga na kidato cha kwanza kutokana na mvua kubwa inayonyesha kwenye kaunti hiyo. Joseph Wakhungu na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive