Skip to main content
Skip to main content

Shughuli ya usajili wa wapigakura yapelekwa kwenye makanisa Kandara Murang'a

  • | Citizen TV
    149 views
    Duration: 1:48
    Viongozi wa kanisa na wale wa jamii katika Eneo bunge la Kandara, Kaunti ya Murang’a, wanaomba kuongezwa kwa muda wa shughuli ya usajili wa wapigakura . Hatua hii inajiri wakati kanisa la AIPCA la Gathangari limechukua hatua kwa ushirikiano na maafisa wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, ambapo huduma za usajili wa wapiga kura zilipelekwa karibu na waumini wakati wa ibada ya Jumapili.