Shughuli za kufukua Makaburi katika ardhi ya Shakahola zimerejelewa

  • | West TV
    194 views
    Baada ya shughuli ya ufukuaji wa miili katika shamba la msitu wa Shakahola katika kaunti ya Kilifi kusimamishwa juma lililopita kutokana na hali mbaya ya anga, zoezi hilo limerejelewa tena jumanne hii huku waziri wa usalama wa ndani akifichua kuwa bado kuna makaburi mengi ya halaiki ambayo hayajafukuliwa ndani ya msitu huo.