Shughuli za kuwatafuta wanafunzi 6 zinaendelea Baringo

  • | Citizen TV
    91 views

    Wapiga mbizi bado wanawatafuta wanafunzi sita waliozama kwenye mto Baringo baada ya boti walimokuwa kuanguka. Shughuli hii inaendelea huku manusura wa ajali hiyo wakisimulia jinsi safari yao kuelekea Kisiwani Kokwa ilikatizwa ghafla, baada ya boti lao kuzama na kumuua mwanafunzi mmoja.