Shughuli za masomo katika shule za upili kuendelea kutatizika

  • | K24 Video
    19 views

    Shughuli za masomo katika shule za upili zitaendelea kutatizika huku muungano wa KUPPET ukisalia dhabiti kuhusu mgomo wao kuendelea huku ukiingia wiki yake ya pili hapo kesho. Hii ni baada ya chama cha kutetea masilahi ya walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri kushikilia kuwa mgomo wao utaendelea.walimu hao wameapa kutositisha mgomo wao hadi pale matakwa yao yatakaposhughulikiwa