Shughuli za uchukuzi zakatizwa Kehancha - Lolgorian baada ya daraja kusombwa na maji

  • | Citizen TV
    353 views

    Shughuli za uchukuzi katika barabara ya Kehancha kuelekea Lolgorian kaunti ya Narok zilisambaratika baada ya daraja la Mogor kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika eneo Hilo.