- 453 viewsShughuli za uchukuzi zimerejea kama kawaida kote nchini baada ya mgomo wa sekta ya usafiri kufutiliwa mbali hii leo. Wahudumu wa usafiri waliokutana na maafisa wakuu wa serikali wanasema wametoa muda wa wiki moja kwa mazungumzo na serikali kutafuta muafaka.