Shughuli za usafiri zatatizwa kwa muda Narok baada ya wakazi kufunga barabara

  • | Citizen TV
    1,437 views

    Usafiri ulitatizwa kwa saa nne katika barabara kuu ya Maai Mahiu- Narok eneo la kibiashara la Duka Moja baada ya wakazi kufunga barabara hiyo wakilalamikia kuongezeka kwa uhalifu.