Shujaa kucheza na Chile katika mchuano wa mchujo wa Madrid wa kufuzu ligi ya dunia

  • | NTV Video
    88 views

    Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 7 kila upande Shujaa itacheza dhidi ya Chile kuanzia saa mbili na dakika 18 usiku huu katika mchuano wa mchujo wa Madrid wa kufuzu ligi ya dunia unaofanyika nchini Uhispania.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya