26 Sep 2025 10:14 am | Citizen TV 193 views Duration: 2:18 Wazazi na bodi ya shule ya msingi na Sekondari msingi ya Chepkutbei wadi ya melelo Narok kusini wameelezea hofu ya usalama wa wanafunzi wa kike baada ya vyoo vya wanafunzi wa kiume kuporomoka .