Shule Laikipia zapokea msaada wa chakula

  • | KBC Video
    5 views

    Shule za msingi na sekondari katika eneo la Laikipia Kaskazini zimepokea msaada wa chakula kusaidia wanafunzi kutoka familia zisizoweza kujimudu kupitia mpago wa lishe shuleni. Usambazaji wa chakula hicho unafuatia maafa yaliyosababishwa na mabadiliko ya sasa ya hali ya hewa ukiwemo ukame ambao uliathiri kilimo na vifo vya mifugo. Mpango wa ugavi wa chakula hicho uliongozwa na dayosisi ya eneo la magharibi ya mlima Kenya ya kanisa la Kianglikana ili kuhkikisha wanafunzi kutoka familia maskini wanahudhuria masomo .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive