Mwanafunzi wa Gredi-1 azama kwenye mto Kamiti

  • | KBC Video
    7 views

    Hali ya huzuni imegubika kijiji cha Gatitu katika mpaka wa Maeneo Bunge ya Kiambaa na Githunguri katika Kaunti ya Kiambu, baada ya mwanafunzi wa gredi ya kwanza kutoka Shule ya Msingi ya Gatitu kuzama kwenye mto Kamiti. Wakazi waliofadhaika walisema kuwa huyu ni mtoto wa tatu kupoteza maisha katika sehemu moja tangu mwaka jana huku wakitoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za haraka kuzuia hali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive