Skip to main content
Skip to main content

Shule nyingi zabanwa na uhaba wa miundombinu CBE

  • | Citizen TV
    233 views
    Duration: 3:57
    Huku mpito wa sekondari ya juu ukiingia muhula wake wa pili, wanafunzi wa gredi ya kumi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa miundombinu ya kufanikisha elimu ya CBE. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la elimu bora katika kaunti kumi na nne nchini, shule nyingi hazina maabara, vifaa vya kutosha au walimu waliohitimu kufundisha masomo yaliyopangwa kwenye mtaala huo. Shule nyingi pia zinakabiliwa na uhaba wa fedha za kuwawezesha walimu wakuu kufanikisha mfumo wa CBE.