- 1,051 viewsDuration: 1:56Shule ya Msingi ya Loromoru haitafunguliwa baada ya kubomolewa usiku wa kuamkia Jumamosi na maafisa wanaodaiwa kuwa wa Huduma ya Misitu Kenya (KFS), wakidai kuwa imejengwa ndani ya Msitu wa Mukutani uliotangazwa kuwa hifadhi ya serikali.