Shule ya msingi ya Ng'op Ngeso imepewa Sh4,000 pekee baada ya serikali kupeana fedha

  • | NTV Video
    1,671 views

    Shule ya msingi ya Ng’op Ngeso kutoka kaunti ya Kisumu imepewa shilingi 4000 na serikali baada ya serikali kupeana fedha zaidi ya bilioni ishirini na mbili kwa matumizi ya shule za msingi na sekondari ilikuwezesha uendelezaji wa shughuli mbali mbali za kimasomo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya