Shule ya upili ya Alliance ilipata alama ya wastani ya 10.31

  • | Citizen TV
    713 views

    Na sasa tuangazie jinsi shule zilizorekodi alama za juu zaidi nchini zilivyosherehekea matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE wa 2024. Shule ya sekondari ya Alliance imeongoza kwa alama ya wastani ya 10.31 huku baadhi ya shule kama Starehe Boys Centre na Kenya High zikiboresha matokeo