Wabunge wa vyama vya ODM na UDA wakutana Nairobi

  • | Citizen TV
    276 views

    Wabunge wa ODM na UDA wanafanya mkutano wa pamoja katika eneo la karen kutafuta mustakabali wa kutekeleza ajenda kumi zilizoafikiwa wakati vyama hivyo viliingia katika maelewano