RABSHA SHULENI NAKURU
Shule ya Upili ya Wavulana ya Jomo Kenyatta huko Bahati katika Kaunti ya Nakuru imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia usiku wa machafuko uliosababisha majeraha ya wanafunzi wawili huku mali ya thamani isiyojulikana ikiteketea. Machafuko hayo yanaripotiwa kusababishwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusu usimamizi wa shule hiyo huku kukiwa na madai ya ufisadi. Wakati wa ghasia hizo, afisi za walimu, madarasa, maktaba na maabara ya kompyuta zilichomwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive