- 269 viewsDuration: 1:43Katika shughuli inayotarajiwa kwa hamu ya wanafunzi kujiunga na gredi ya 10 chini ya mfumo wa sasa wa elimu ya umilisi, shule ya wasichana ya Anestar Coast Girls Academy iko tayari kuwakaribisha wanafunzi wasichana shuleni humo ili kuwapa mwamko mpya wa maisha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News