Shule ya wavulana imefungwa kufuatia rabsha jana usiku

  • | Citizen TV
    6,426 views

    Shule ya upili ya Tharaka boys imefungwa kufuatia mgomo wa wanafunzi jana usiku. Wanafunzi wote wameregeshwa nyumbani baada ya kuzua rabsha shuleni mwenzo wa saa tatu suiku.