- 48 viewsWasiwasi umeibuka katika baadhi ya shule za sekondari ya juu baada ya kukosa idadi ya wanafunzi iliyotarajiwa. Kwa mfano katika kaunti ya Machakos, kuna shule yenye wanafunzi wanne tu, siku tatu baada ya gredi ya 10 kuanza rasmi kuambatana na mtaala wa elimu wa CBE.