Skip to main content
Skip to main content

Shule za sekondari msingi zinataka kujisimamia

  • | Citizen TV
    1,441 views
    Duration: 2:34
    Vyama vya walimu na walimu wa shule za sekondari msingi (JSS) wanazidi kuishinikiza serikali kuweka mikakati inayohitajika ili wawe huru na wajisimamie wenyewe. Walimu wa sekondari msingi wanataka usimamizi wa shule zao kuwa tofauti na zile za msingi na za sekondari wakisema kuwa kuwa chini ya shule za msingi kumeleta mkanganyiko mkubwa kwenye usimamizi wa shule, michezo na shughuli za ziada za masomo.