Shule zaidi ya 150 zimeathirika na mafuriko

  • | Citizen TV
    2,303 views

    Kuahirisha kwa ufunguzi wa shule hadi wiki ijayo kumejiri kufuatia wasiwasi kuwa shule zaidi ya 150 zimeathirika, wanaotafuta hifadhi wamesitiriwa shuleni na miundomsingi ya usafiri imeharibiwa na mafuriko. aidha viongozi mbalimbali waliishinikiza serikali kuchukua hatua hiyo ili kutohatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Gatete Njoroge anatuchorea taswira kuhusu mafuriko yalivyoathiri shule.