Siasa mbadala | Vijana wajiandaa kwa uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    647 views

    VIONGOZI WA MAKUNDI YA VIJANA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI NCHINI SASA WANASEMA WAKATI UMEFIKA KWA VIJANA KUJITAFUTIA MUSTAKABALI WA UONGOZI KWENYE UCHAGUZI MKUU UJAO. VIJANA HAWA WAKISEMA WAMEANZISHA MIKAKATI YA KUBUNI SIASA MBADALA HUKU WAKITOA MATAKWA YAO YA NAMNA VIJANA WANAWEZA KUJUMUISHWA KWENYE UONGOZI